Dominika Koleničková
Dominika Koleničková (alizaliwa 24 Septemba 1992) ni mchezaji wa soka wa nchini Slovakia na ambaye anacheza kama kiungo wa Klabu ya FC Saarbrücken kwenye ligi ya Frauen-Bundesliga na timu ya taifa ya Slovakia.[1]
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dominika Koleničková kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |