Donasyani wa Afrika (6 Septemba)

Donasyani alikuwa Mkristo Mkatoliki wa Afrika Kaskazini aliyeuawa kwa ajili ya imani yake katika dhuluma ya mfalme wa Wavandali Huneriki (karne ya 5)[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Septemba.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.