Dorotea wa Aleksandria

Dorotea wa Aleksandria (alifariki 320 hivi) alikuwa mwanamke bikira wa mji huo wa Misri, ambaye alikataa katakata vishawishi vya kaisari Maksiminus Daia na kwa sababu hiyo alinyang'anywa utajiri wake wote na kupelekwa uhamishoni huko Arabia.

Masimulizi haya yaliandikwa na Eusebi wa Kaisarea lakini jina lilitajwa na Rufinus.

Anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Februari.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.