Dunkerque
Dunkerque (kwa Kiing.: Dunkirk) ni mji wa Ufaransa katika Nord-Pas-de-Calais.
Dunkerque | |||
| |||
Mahali pa mji wa Dunkerque katika Ufaransa |
|||
Majiranukta: 51°02′18″N 2°22′39″E / 51.03833°N 2.37750°E | |||
Nchi | Ufaransa | ||
---|---|---|---|
Mkoa | Nord-Pas-de-Calais | ||
Wilaya | Nord | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 265,974 | ||
Tovuti: www.ville-dunkerque.fr |
Mji huo ni bandari kwenye mwambao wa Mfereji wa Kiingereza.
Wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia kulitokea hapo mapigano ya Dunkirk ya 1939 ambapo wanajeshi laki tatu wakiwemo Waingereza na Wafaransa walizingirwa na Wajerumani. Ujerumani ilisimamisha wanajeshi wake kwa muda na Uingereza ilitumia nafasi hiyo kutuma meli na maboti mengi Dunkirk ikafaulu kuokoa sehemu kubwa ya askari zake.
Tazama pia
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Dunkerque kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |