Dushanbe (Kitajiki: Душанбе, دوشنبه) ni mji mkuu wa Tajikistan ikiwa na wakazi 562,000.

Jiji la Dushanbe
Nchi Tajikistan
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 562 000
Tovuti:  www.dushanbe.tj
Dushanbe kituo cha treni

Jina limetokana na neno la Kiajemi kwa "Jumatatu" (du "mbili" + shanbe "siku" yaani "siku ya pili") kwa sababu mji ulianzishwa kama mahali pa soko kwenye siku ya Jumatatu.

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Dushanbe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: