El Altar

(Elekezwa kutoka El Madhabahu)

El Altar ni mlima wa Andes wenye asili ya volikano ulioko katika nchi ya Ekwador (Amerika Kusini).

Urefu wake ni mita 5,319 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia hariri