Eleuteri wa Tarsia

Eleuteri wa Tarsia (alifariki Tarsia (Bitinia), leo nchini Uturuki, 305/310) alikuwa Mkristo na labda mbunge wa Dola la Roma aliyeuawa kwa sababu ya imani yake katika dhuluma ya kaisari Masimiano[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Agosti[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.