Emelda Mwamanga

ni mjasiriamali, mhariri, mchapishaji na mmiliki wa kampuni ya RELIM Entertainment


Emelda Mwamanga ni mjasiriamali, mhariri, mchapishaji na mmiliki wa kampuni ya RELIM Entertainment inayoshughulikia uchapishaji wa majarida BANG MAGAZINE na BANG STAR linalohusika na mtindo wa maisha toka mwaka 2014.

Emelda Mwamanga

Emelda Mwamanga (2017)
Kazi yake mjasiriamali, mhariri, mchapishaji na mmiliki wa kampuni ya RELIM Entertainment


Emelda Mwamanga

Emelda Mwamanga akiwa na balozi mtaafu wa Marekani Robert P. Jackson ( 2017)
Kazi yake kiongozi wa Rasilimali watu na Meneja wa shirika la Coca-Cola.

Pia alikuwa kiongozi wa Rasilimali watu na Meneja wa shirika la Coca-Cola.

Elimu hariri

Ana shahada ya kwanza ya Sayansi ya Jamii na Viwanda, pia amechukua Masomo ya Kazi.

Kutokana na ufanyaji kazi wake kwa bidii alichaguliwa kushiriki katika programu ya Ushauri ya Kitengo cha Marekani chini ya kiongozi na Mkurugenzi Mtendaji Annie Moore ambaye pia ni mwenyekiti wa kampuni ya Time Inc.

Viungo vya nje hariri

Marejeo hariri