Emilio G. Segrè

Mwanafizikia wa Italia na mshindi wa Tuzo ya Nobel
(Elekezwa kutoka Emilio Segrè)

'

Emilio G. Segrè
Amezaliwa1 Februari 1905
Amefariki22 Aprili 1989
Kazi yakemwanafizikia kutoka nchi ya Italia


Emilio Segre (1 Februari 190522 Aprili 1989) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Italia. Mwaka wa 1938 alihamia Marekani. Hasa alifanya utafiti wa fizikia ya kiini. 1937 alitambua Tekineti kama elementi sintetiki ya kwanza iliyopatikana katika historia. Mwaka wa 1959, pamoja na Owen Chamberlain alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Emilio G. Segrè kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.