Enaam Elgretly
Muigizaji wa kike wa Misri
Enaam Elgretlyanajulikana kama Inaam El Gretly, ni mwigizaji kutoka Misri.
Enaam Elgretly | |
---|---|
Enaam Elgretly] | |
Amezaliwa | Enaam Elgretly 6 Novemba 1944 Cairo,Misri |
Jina lingine | Inaam El Gretly |
Kazi yake | Mwigizaji |
Miaka ya kazi | 1966 mpka sasa |
Maisha yake
haririEnaam Elgretly alizaliwa huko Cairo, na pia ni dada mkubwa wa mwigizaji anayeitwa Ahlam Elgretly. Mnamo mwaka 1966 alihitimu masomo yake katika chuo cha maswala ya sanaa, Institute of Dramatic Art. Katika kipindi cha kazi kilichochukua muda wa nusu karne, alionekana mara nyingi katika mtiririko wa tamthiliya na filamu za runinga. Moja kati ya tamthiliya ya mwendelezo maarufu, Man and six women ambapo alionekana baada ya kipande cha tatu cha tamthiliya hiyo.[1]
Marejeo
hariri
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Enaam Elgretly kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
No
- ↑ "إنعام الجريتلى". elCinema.com. Iliwekwa mnamo 2013-09-02.