Spishi adimu

(Elekezwa kutoka Endangered species)

Shishi adimuni spishi ambazo zimeandikwa na International Union for Conservation of Nature (IUCN) katika orodha maalumu yenye majina ya zile zinazoelekea kukoma duniani (Red List).

Siberian tiger ni spishi iliyo katika hatari ya kutoweka. [1]

Mwaka 2012 orodha hiyo ilikuwa na spishi za wanyama 3079 na spishi za mimea 2655,[2] wakati mwaka 1998 zilikuwa 1102 na 1197 tu.

Inakadiriwa kwamba zaidi ya asilimia 40 za spishi ziko hatarini.

Siku hizi nchi nyingi zina sheria za kuhifadhi spishi za namna hiyo, kwa kukataza, k.mf. uwindaji na uchomaji moto, au kwa kuunda maeneo maalumu hifadhi za taifa.

Pia kuna mikataba ya kimataifa iliyosainiwa na nchi zote au karibu zote kwa ajili hiyo.

Tanbihi

hariri
  1. "The Tiger". Sundarbans Tiger Project. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-09-17. Iliwekwa mnamo 2 Juni 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "IUCN Red List version 2012.2: Table 2: Changes in numbers of species in the threatened categories (CR, EN, VU) from 1996 to 2012 (IUCN Red List version 2012.2) for the major taxonomic groups on the Red List" (PDF). IUCN. 2012. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2013-01-27. Iliwekwa mnamo 2012-12-31.

Marejeo

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Spishi adimu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.