Open main menu

Eneo la Uingereza katika Bahari Hindi

Eneo la Uingereza katika Bahari Hindi (kwa Kiingereza: British Indian Ocean Territory) ni hasa funguvisiwa la Chagos likiwa pamoja na kisiwa cha Diego Garcia. Linapatikana kati ya Tanzania na Indonesia.

Eneo la Uingereza katika Bahari Hindi
British Indian Ocean Territory
Flag of the British Indian Ocean Territory.svg
Diegogarcia.jpg
Diego Garcia ni kisiwa kikuu cha Eneo la Uingereza katika Bahari Hindi
Habari za kimsingi
Utawala Eneo la ng'ambo la Uingereza
Mji Mkuu Kisiwa cha Diego Garcia
Lugha rasmi Kiingereza
Anwani ya kijiografia Latitudo: 6°00'S
Longitudo: 71°30'E
Eneo 60 km²
Wakazi wanajeshi 2,500; wakazi asilia 2,000 walihamishwa
Msongamano wa watu watu 58.3 kwa km²
Simu & Pesa +56 (nchi)
Mahali
DiegoGarcia1.png

Eneo la Uingereza katika Bahari Hindi pamoja na Diego Garcia
Biot-map.png

Eneo la Uingereza katika Bahari Hindi

Mauritius inadai eneo lote ni lake, na mwaka 2017 mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa umeikubalia ifungue kesi katika Mahakama Kuu ya Kimataifa.

Viungo vya njeEdit