Fisi-bahari

(Elekezwa kutoka Enhydra)
Fisi-bahari

Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Carnivora (Wanyama mbua)
Nusuoda: Caniformia (Wanyama kama mbwa)
Familia: Mustelidae (Wanyama walio na mnasaba na chororo)
Nusufamilia: Lutrinae (Wanyama wanaofanana na fisi-maji)
Jenasi: Enhydra
Flemming, 1828
Spishi: E. lutris
(Linnaeus, 1758)
Ngazi za chini

Nususpishi 3:

Msambao wa fisi-bahari
Msambao wa fisi-bahari

Fisi-bahari (Enhydra lutris) ni spishi ya fisi-maji wa nusufamilia Lutrinae katika familia Mustelidae.

Nususpishi hariri

  Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fisi-bahari kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.