Eric Salter Balfour (amezaliwa tar. 24 Aprili 1977) ni mwimbaji na mwigizaji wa filamu na televisheni kutoka nchini Marekani. Huyu ndiye mwimbaji kiongozi wa bendi ya Born As Ghosts, zamani ilikuwa inajulikana kwa jina la Fredalba. Huenda akawa anafahamika zaidi kwa kucheza kama Milo Pressman kutoka katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24.

Eric Balfour

Eric Balfour, mnamo 2010
Amezaliwa Eric Salter Balfour
24 Aprili 1977 (1977-04-24) (umri 46)
Los Angeles, California, Marekani
Kazi yake Mwigizaji, mwimbaji
Miaka ya kazi 1991-hadi leo
Ndoa Erin Chiamulon (2015)
Watoto 2

Filamu hariri

Mwaka Filamu Kama Maelezo
1991 Kids Incorporated Eric Tamthilia
1992 Arresting Behavior Billy Ruskin Vipindi 5
1993 Bloodlines: Murder in the Family Matt
1993 Danger Theatre Teenager #2 Kipindi: "An Old Friend for Dinner"
1993 Step by Step Michael Fielder Kipindi: "Never on Sunday"
1993-1994 Dr. Quinn, Medicine Woman Benjamin Avery Vipindi 2
1994 Animaniacs Jared (sauti) Vipindi 2
1995 Boy Meets World Tommy Kipindi: "Pop Quiz"
1995 Kirk Zack Kipindi: "The Crush"
1996 Shattered Image Greg
1996 Champs Danny Kipindi: "For Art's Sake"
1996 No One Would Tell Vince Fortner Filamu
1996 Townies Adam Kipindi: "The Good Job"
1997 Buffy the Vampire Slayer Jesse Kipindi: "Welcome to the Hellmouth"
Kipindi: "The Harvest"
1997 Trojan War Kyle
1997 Clueless Pizza Boy Kipindi: "Salsa, Chlorine & Tears"
1998 Dawson's Creek Warren Goering Kipindi: "Road Trip"
1998 Can't Hardly Wait Hippie Guy
1999 Nash Bridges Cliff Morehouse Kipindi: "Shoot the Moon"
1999 The West Wing Kipindi: "Mr. Willis of Ohio"
1999 Scrapbook Andy Martin
2000 Chicago Hope Jason Kerns Kipindi: "Hanlon's Choice"
2000 What Women Want Cameron
2001 Rain Pvt. Morris
2001 FreakyLinks Chapin Demetrius Kipindi: "Subject: Live Fast, Die Young"
2001 America's Sweethearts Security Guard
2001 The Chronicle Mark Griffin Kipindi: "Only the Young Die Good"
2001 NYPD Blue Eli Beardsley
Charlie 'Spyder' Price
Kipindi: "Peeping Tommy"
Kipindi: "Two Clarks in a Bar"
2001 Six Feet Under Gabe Vipindi 3
2001–2003 Six Feet Under Gabriel Dimas Vipindi 11
2001–2002 24 Milo Pressman Vipindi 8
2003 Secondhand Lions Sheik's Grandson
2003 The Texas Chainsaw Massacre Kemper
2003–2004 Veritas: The Quest Calvin Banks Vipindi 13
2004 Fearless Ryan
2004 Face of Terror Saleem Haddad
2004 The O.C. Eddie Vipindi 3
2004 Hawaii Christopher Gains Tamthilia
2005 Be Cool Derek
2005 Rx Andrew
2005 Lie with Me David
2005 In Her Shoes Grant
2005 Sex, Love & Secrets Charlie Kipindi: "Secrets"
2006 Conviction A.D.A. Brian Peluso Vipindi 13
2006 The Elder Son Skip
2007 Protect and Serve Paul Grogan
2007 24 Milo Pressman Vipindi 20
2007 LA Ink Mwenyewe
2008 Hell Ride Comanche / Bix
2008 What We Take from Each Other Thief of Hands
2008 The Ex List Johnny Diamont Kipindi: "Pilot"
2008 The Spirit Mahmoud
2009 Horsemen Taylor Kurth
2009 Spread Sean
2009 Fear Itself Maxwell Kipindi: "Echoes"
2009 Life on Mars Eddie Carling Kipindi: "The Dark Side of the Moon"
2009 Rise of the Gargoyles Prof. Jack Randall
2009 Law & Order: Criminal Intent Max Goodwin Kipindi: "Salome in Manhattan"
2009 Monk Lenny Barlowe Kipindi: "Mr. Monk Is Someone Else"
2009 Valemont Eric Gracen
2010 Cell 213 Michael Grey
2010 Dinoshark Trace McGraw
2010 Saving Grace Jesus Kipindi: "Loose Men in Tight Jeans"
2010 Beatdown Victor
2010 - Haven Duke Crocker
2010 Skyline Jarrod
2010 The Legend of Hell's Gate: An American Conspiracy Will Edwards
2010 Do Not Disturb Frank Segment: "Rocketman"
2011 No Ordinary Family Lucas Winnick Vipindi 2
2012 Dark as Day Jake
2014 Manson Girls Bobby Beausoleil [1]
2014 Tao of Surfing Dayne

Marejeo hariri

Viungoi vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eric Balfour kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.