Milo Pressman ni jina la uhusika wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24. Uhusika ulichezwa na Eric Balfour.

Milo Pressman
muhusika wa 24

Eric Balfour kama Milo Pressman
Imechezwa na Eric Balfour
Idadi ya sehemu 28
Hali
Amefariki
Misimu
1, 6
Maelezo

Wakati wa Msimu wa 6, Milo anafanya kazi kama Kiongozi wa Uratibu wa Internet wa CTU, Los Angeles.

Katika uhusika hariri

Milo Pressman alizaliwa mnamo mwaka wa 1978.[1]Ana Master digrii ya Computer Science aliyoipatia katika Chuo Kikuu cha Stanford, pia ana digrii ya Mathematics aliyoipatia katika Chuo Kikuu cha Michigan.

Katika msimu wa kwanza, alifanya kazi kama mshauri wa usalama wa CTU. Siku iliyofuata ya msimu wa kwanza, alirudi zake Kandani na kuijiendeleza na mafunzo hayo.[2]

Marejeo hariri

  1. Cerasini, Marc (2003). 24: The House Special Subcommittee's Findings at CTU (toleo la First). Harper Collins. uk. 92. ISBN 0-06-053550-4. 
  2. DiLullo, Tara (Aprili 2007). "24: The Official Magazine". Titan Magazines. uk. 38. 

Viungo vya Nje hariri