Erkolano wa Perugia

Erkolano wa Perugia (alifariki Perugia, Umbria, 7 Novemba 547 BK) anakumbukwa kama mmonaki wa Kiaugustino, halafu askofu wa mji huo (Italia ya Kati) aliojaribu kuutetea dhidi ya wavamizi Wagoti lakini hatimaye aliuawa nao[1].

Mt. Erkolano alivyochorwa na Pietro Perugino.

Papa Gregori I aliandika habari za maisha na kifo chake[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Novemba[3]

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/93264
  2. "Gregory the Great, Dialogues (1911) Book 3. pp. 105-174". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-09-17. Iliwekwa mnamo 2007-04-13.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help)
  3. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.