Erna Solberg
Erna Solberg (alizaliwa 24 Februari 1961) ni mwanasiasa wa Norwei wa chama cha Høyre ambaye ni Waziri Mkuu wa Norwei tangu Oktoba 2013. Amekuwa mbunge kutoka Hordaland tangu mwaka 1989, na amekuwa mwenyekiti wa Høyre tangu mwaka 2004.
Erna Solberg | |
Aliingia ofisini 16 Oktoba 2013 | |
Monarch | Harald V |
---|---|
mtangulizi | Jens Stoltenberg |
Constituency | Hordaland |
Mwenyekiti wa Høyre
| |
Aliingia ofisini 9 Mei 2004 | |
mtangulizi | Jan Petersen |
Waziri wa manispaa na mandeleo ya kikanda
| |
Muda wa Utawala 19 Oktoba 2001 – 17 Oktoba 2005 | |
Waziri Mkuu | Kjell Magne Bondevik |
mtangulizi | Sylvia Brustad |
aliyemfuata | Åslaug Haga |
Mbunge wa Norwei
| |
Aliingia ofisini 2 Oktoba 1989 | |
tarehe ya kuzaliwa | 24 Februari 1961 Bergen |
utaifa | Mnorwei |
chama | Høyre |
Erna Solberg ni mwanamke wa pili kuwa Waziri Mkuu wa Norwei; mwanamke wa kwanza alikuwa Gro Harlem Brundtland. Waziri Mkuu kabla ya Solberg alikuwa Jens Stoltenberg.
Viungo vya nje
hariri- style="background:#F99;vertical-align:middle;text-align:center;" class="table-no"|Hapana Blogu wa Erna Solberg