Ernest Gakeya Mabina

Ernest Gakeya Mabina (amezaliwa tar. 15 Julai 1954) ni mbunge wa jimbo la Geita katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

  1. Mengi kuhusu Ernest Gakeya Mabina (19 Julai 2006). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.

Viungo vya nnjeEdit