Esau Khamati Oriedo

Esau Khamati Sambayi Oriedo (29 Januari 1888 - 1 Desemba 1992) alikuwa mwinjilisti wa Kikristo, mfadhili, mjasiriamali na mwanaharakati wa vyama vya wafanyakazi, mkongwe wa vita vya Kwanza vya Dunia na vita vya pili vya Dunia kama mwanajeshi wa King's African Rifles (KAR), wakili, na mwanaharakati dhidi ya ukoloni kutoka Kenya.[1]

Esau Khamati Oriedo 1990 Nairobi, Kenya

Marejeo

hariri
  1. "Emuhaya constituency". www.emuhaya.co.ke. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 23 Oktoba 2016. Iliwekwa mnamo 2016-11-12.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.