Esse Akida
Esse Mbeyu Akida (18 Novemba 1992),[1] ni mwanasoka wa kulipwa wa Kenya, ambaye kwa sasa anachezea PAOK nchini Ugiriki,[2] na ni mwanachama "Harambee Starlets", Timu ya Taifa ya Kandanda ya Kenya
Kazi katika Klabu
haririAkida alijiunga na Moving The Goalposts (MTG) mwaka wa 2002
Alituzwa mfungaji bora wa Mashindano ya Soka ya Wanawake ya COTIF ya 2016 huko Valencia, Uhispania.
Mnamo Oktoba 2018, Akida alihamia klabu ya Ligat Nashim ya Israeli FC Ramat HaSharon.[3]
Mnamo Februari 2020, Esse Akida alijiunga na Beşiktaş J.K. nchini Uturuki kwa ada ambayo haijatajwa. Baada ya kuonekana katika mechi mbili za Ligi ya Soka ya Kwanza ya Wanawake ya Kituruki msimu wa 2019-20 kipindi cha pili, ambayo ilikoma kutokana na janga la COVID-19 nchini Uturuki, aliondoka Uturuki tarehe 23 Februari 2021 kurejea nchini mwake.[4] Kwa sasa anachezea PAOK.
Kazi Kimataifa
haririAlichezea Kenya katika Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake 2016,[1] akiifungia Kenya katika mechi dhidi ya Ghana.[5][6]
Aliifungia Kenya katika mechi ya kufuzu kwa Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake 2018 dhidi ya Guinea ya Ikweta.[7][8]
Hivi sasa pia anachezea timu ya Taifa ya Mpira wa miguu ya Kenya; "Harambee Starlets".[9]
Marejeo
hariri- ↑ 1.0 1.1 http://www.cafonline.com/en-US/NewsCenter/News/NewsDetails?id=7k6%2FEm4WRu3WZ6L%2Bis3nEw%3D%3D
- ↑ "Futbolcu Bilgileri TFF". www.tff.org. Iliwekwa mnamo 2022-03-05.
- ↑ "Kenya forward Esse Akida secures Israel move". ESPN.com (kwa Kiingereza). 2018-10-13. Iliwekwa mnamo 2022-03-05.
- ↑ "Futbolcu Bilgileri TFF". www.tff.org. Iliwekwa mnamo 2022-03-05.
- ↑ "Ghana 3-1 Kenya, AWCON RESULT: Suleman Samira, Elizabeth Addo, Boakye Portia strike to give Black Queens three points". Nation (kwa Kiingereza). 2020-07-04. Iliwekwa mnamo 2022-03-05.
- ↑ "The Star". The Star (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-12-27. Iliwekwa mnamo 2022-03-05.
- ↑ "The Star". The Star (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-03-02. Iliwekwa mnamo 2022-03-05.
- ↑ "Esse Akida summoned in Harambee Starlets squad to face Equatorial Guinea | Goal.com". www.goal.com. Iliwekwa mnamo 2022-03-05.
- ↑ "Esse Mbeyu Akida | Moving the GoalPosts". mtgk.org. Iliwekwa mnamo 2022-03-05.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Esse Akida kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |