Esuperi wa Toulouse

Esuperi wa Toulouse (Arreau, Haute-Pyrénées, Ufaransa, karne ya 4 - Blagnac, Haute Garonne, 411 hivi[1]) alikuwa kwa miaka kadhaa askofu wa mji huo ambao aliupigania usalama wake dhidi ya wavamizi mbalimbali[2].

Sanamu yake.

Alisifiwa na Jeromu, aliyesimulia alivyokuwa anajinyima ili kukarimu wengine, na Gregori wa Tours, aliyesema alikuwa kati ya maaskofu bora wa wakati wake[3].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu[4].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 28 Septemba[5][6].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-05-12. Iliwekwa mnamo 2020-09-27.
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/72320
  3. Exuperius is best known in connection with the Canon of the Sacred Scriptures. He had written to Pope Innocent I for instructions concerning the canon and several points of ecclesiastical behaviour. In reply, the pope honoured him with the letter Consulenti Tibi, dated February 405, which contained a list of the canonical scriptures including the deuterocanonical books of the Catholic Canon.
  4. Cassian of Autun.
  5. Martyrologium Romanum
  6. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-05-07. Iliwekwa mnamo 2020-09-27.

Marejeo

hariri
  • Saint Exupère, évêque de Toulouse et patron de Blagnac, Philippe Massot, imprimerie catholique Saint-Cyprien, 1887

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.