Eufroni wa Tours (alifariki 573) alikuwa askofu wa mji huo, leo nchini Ufaransa, kuanzia mwaka 556[1].

Alianzisha parokia nyingi na kushiriki mitaguso mbalimbali.

Alisifiwa mara kadhaa na mwandamizi wake, Gregori wa Tours, kwa upendo aliokuwanao[2].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Agosti[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2022-09-11. Iliwekwa mnamo 2020-08-03.
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/65430
  3. Martyrologium Romanum
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.