Eugeni, Euganda na Abilandi

Eugeni, Euganda na Abilandi ni kati ya Wakristo bora wa Misri.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakopti kama watakatifu.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 10 Machi.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Holweck, F. G. A Biographical Dictionary of the Saints. St. Louis, MO: B. Herder Book Co. 1924.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.