Evesi wa Nikomedia

Evesi wa Nikomedia (aliuawa Nikomedia, leo nchini Uturuki, 24 Februari 303) alikuwa mtu maarufu wa mji huo ambaye, kwa kusukumwa na imani yake, alithubutu kuchana hadharani hati ya kaisari Dioklesyano iliyotangaza dhuluma dhidi ya Wakristo. Kwa sababu hiyo aliteswa kwa kila namna na hatimaye kuchomwa moto[1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifodini chake.[2]

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/42590
  2. Martyrologium Romanum (Libreria Editrice Vaticana, 2001, ISBN|88-209-7210-7)
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.