FIFA 18

FIFA 18 ni mchezo wa kompyuta unaohusu mpira wa miguu.

Picha ya FIFA 18

Mchezo huu upo katika mfululizo wa michezo ya FIFA, ulioendelezwa na kuchapishwa na kampuni ya Electronic Arts na ilitolewa duniani kote tarehe 29 Septemba 2017 kwa ajili ya Microsoft Windows, PlayStation 3, PlayStation 4, Xbox 360, Xbox One na Nintendo Switch. Ni awamu ya 25 katika mfululizo wa FIFA.

Mchezo huu unamilikiwa na mchezaji wa Ureno Cristiano Ronaldo.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu FIFA 18 kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.