Fawzia Abdulla Yusuf Zainal ni mwanahabari wa Bahrain, mwanaharakati wa kijamii na mwanasiasa ambaye amekuwa Spika wa Baraza la Wawakilishi tangu 12 Desemba 2018. Zainal ndiye mwanamke wa kwanza kuongoza bunge la Bahrain, na mwanamke wa pili kuongoza bunge la Ghuba-Kiarabu baada ya Bunge la UAE Amal Al Qubaisi.[1].

Fawzia Zainal
Picha ya Zainal mwaka 2021
Picha ya Zainal mwaka 2021
Alizaliwa 12 Desemba 2018
Nchi Ghuba
Kazi yake Mwanaharakati

Elimu hariri

Zainal alihitimu shahada ya elimu na lugha ya Kiarabu kutoka Chuo Kikuu cha Bahrain mnamo mwaka 1983.[2]na ana Stashahada ya Uzamili katika Ushauri Nasaha kutoka Chuo Kikuu cha Jordan[3]/

Marejeo hariri

  1. Naar, Ismaeel. "Fawzia Zainal elected first woman Speaker of Bahraini parliament", Al Arabiya, 13 December 2018. Retrieved on 26 December 2018. 
  2. "Fawzia Zainal … Meet the most important woman in Manama". Navva.org. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-07-22. Iliwekwa mnamo 2021-07-22. 
  3. "Board of Trustees". Ahlia School. 
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fawzia Zainal kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.