Felikola (alifariki Roma, karne ya 4 hivi) alikuwa mwanamke wa Roma ya Kale aliyeuawa kwa ajili ya imani yake [1].

Kifodini cha Mt. Felikola.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama mtakatifu mfiadini[2][3].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Juni[4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.