Ferdinand von Richthofen
Ferdinand von Richthofen (alizaliwa 5 Mei 1833 - 6 Oktoba 1905) alikuwa mwanasayansi kutoka Ujerumani.
Maisha
haririAlizaliwa huko Carlsruhe nchini Ujerumani, na alifundishwa katika Gymnasium ya Katoliki huko Breslau.
Alijifunza mambo ya madawa katika Chuo Kikuu cha Breslau na Chuo Kikuu cha Humboldt jijini Berlin.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ferdinand von Richthofen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |