Fides wa Agen (alifariki Agen, Akwitania, leo nchini Ufaransa, 303 hivi) alikuwa mwanamke Mkristo aliyeuawa kwa ajili ya imani yake kutokana na dhuluma ya kaisari Dioklesyano[1].

Fides
Kifodini cha Mt. Fides kilivyochorwa katika Karne za Kati.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Oktoba[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.