Filippa Angeldal
Mchezaji wa mpira wa miguu wa Uswidi
Filippa Angeldal (pia huandikwa Angeldahl; alizaliwa 14 Julai 1997) ni mchezaji wa soka wa Uswidi ambaye anacheza kama kiungo katika timu ya Manchester City na timu ya taifa ya Uswidi.[1]
Tanbihi
haririMarejeo
hariri- "List of Players – Sweden" (PDF). FIFA. 24 September 2016. p. 14. Retrieved 29 June 2019.