Flaviani wa Autun

Flaviani wa Autun (alifariki mwishoni mwa karne ya 5) alikuwa askofu wa mji huo, leo nchini Ufaransa, wakati wa mfalme Klovis [1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu[2].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 23 Agosti[3].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.