Florianus (alifariki 276) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kwa miezi kama mitatu katika mwaka wa 276 hadi kifo chake.

Sanamu la Florianus

Alimfuata Tacitus akafuatwa na Probus.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Florianus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.