Fool Again
"Fool Again" ni wimbo kutoka katika kundi la Westlife,wimbo huu ulitoka kama single yao ya tano,Wimbo huu ukawa wimbo wa tano mfululizo kutoka kwa Westlife kufika nafasi ya kwanza katika chati ya muziki ya Uingereza. Na kuvunja rekodi ya wimbo wa uliokuwa ukishikilia rekodi hiyo kutoka kwa single za kundi la B*Witched.
“Fool Again” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Westlife | |||||
B-side | Tunnel of Love | ||||
Muundo | CD single | ||||
Aina | Pop | ||||
Mtunzi | Jörgen Elofsson, David Kreuger, Per Magnusson | ||||
Mwenendo wa single za Westlife | |||||
|
Mtiririko Nyimbo
hariri- "Fool Again" (2000 Remix)
- "Tunnel of Love"
- "Fool Again" (Enhanced Section)
Nyimbo za Video
haririNyimbo za Video kutoka kwa kundi hili hususani kwa single ya ""Fool Again" ulitengenezwa nchini Mexico, na kujumuisha maeneo kama vile El Zocalo na Ciudad Satelite.
Mtiririko wa Matamasha
haririChati | Ulipata nafasi |
Certification |
---|---|---|
Belgian (Flanders) Singles Chart | 38 | |
German Singles Chart | 80 | |
Irish Singles Chart | 2 | |
Netherlands Singles Chart | 23 | |
Swedish Singles Chart | 5 | Gold |
Swiss Singles Chart | 39 | |
UK Singles Chart | 1 | |
UK Radio Airplay Chart | 8 |