Seasons in the Sun
"Seasons in the Sun" ni toleo la Kiingereza la wimbo wa "Le Moribond" ulioimbwa na mwanamuziki wa Ubelgiji, na mtunzi wa nyimbo Jacques Brel [1]. Ulikuwa wimbo bora wa mwaka 1974, kwa Terry Jacks na ilikuwa wimbo bora wa Krismasi nchini Uingereza, kwa mwaka 1999, ambapo ulifanikiwa kushika nafasi ya kwanza, lakini wakati huu ulikuwa ukitoka katika kundi la Westlife
“Seasons in the Sun” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Terry Jacks | |||||
B-side | "Put the Bone In" | ||||
Imetolewa | January 1974 | ||||
Muundo | 7" | ||||
Imerekodiwa | 1973 | ||||
Aina | Pop, Teenage Tragedy | ||||
Urefu | 3:24 | ||||
Studio | Bell Records | ||||
Mtunzi | Jacques Brel, Rod McKuen | ||||
Mwenendo wa single za Terry Jacks | |||||
|
Toleo la Jck, lilitoka katika nchi za Marekani na Canada mapema mwaka huo, na kufanikiwa kufika hadi nafasi ya kwanza nchini Marekani, hii ikiwa ni tarehe 2 ya mwezi Machi. Wanamuziki mbalimbali wameshatoa wimbo huu kwa mara ya pili kama vile The Kingston Trio, Kundi la nchini Uingereza, The Fortunes mwaka 1968 na kundi la Pearls Before Swine (band)mwaka n 1970/71.
Historia
haririWimbo huu ulirekodiwa kwa mara ya pili katika Vancouver, BC ambapo ulirekodiwa n a Jacks na mke wa kipindi hicho aliyekuwa aakiitwa Susan Jacks. Muda mfupi kabla ya ndoa yao kuvunjika. Wakati kundi la walipoamua kuacha kurekodi wimbo huo, Terry na Susan waliamua kurekodi wimbo huu wenyewe na kuutoa chini ya jina la Terry. Jacks alitoa wimbo huo, katika stuio yake mwenyewe, na muda mfupi baadae iifanikiwa kushika nafasi ya kwanza katia chati mbalimbali za muziki nchini Marekani (ambapo ilitolewa katika studio za [[Bell Records (1950-70), Pia ilitolewa nchini Canada na Uingreza. Ilifanikiwa kuuza nakala zaidi ya milioni sita dunia nzima.
Liganisho la Matoleo
haririHili ni toleo lililotafiriwa na kupelekwa katika kiingereza, kutoka katika wimbo wa asili uliotungwa na Jacques Brel:
- Good-bye, my wife, I loved you well
- Good-bye, my wife, I loved you well, you know,
- But I'm taking the train for the Good Lord,
- I'm taking the train before yours
- But you take whatever train you can;
- Goodbye, my wife, I'm going to die,
- It's hard to die in springtime, you know,
- But I'm leaving for the flowers with my eyes closed, my wife,
- Because I closed them so often,
- I know you will take care of my soul.
- ("eyes closed" ikimaanisha kufunga macho yake kutokana na mkewe, kutokuwa mwaminifu, na katika shahiri linalofuatia, anamwambia kwa kwaheri mpenzi wa mke wake Antoine Antoine).
Terry Jacks anatoa ubeti wa tatu na wa nne, na kuongeza ubeti wake mwenyewe, ambao unaufanya wimbo huu kuweza kumaanisha kuimbiwa kwa mototo wa kike au rafiki.
- Goodbye, Michelle, my little one,
- You gave me love and helped me find the sun,
- And every time that I was down
- You would always come around
- And get my feet back on the ground;
- Goodbye, Michelle, it's hard to die
- When all the birds are singing in the sky,
- Now that the spring is in the air,
- Whiff of flowers everywhere,
- I wish that we could both be there!
Matoleo mengine
hariri“I Have a Dream"/"Seasons in the Sun” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Westlife | |||||
Muundo | CD Single | ||||
Aina | Pop | ||||
Studio | Sony BMG | ||||
Mtunzi | Brel, McKuehn | ||||
Certification | Platinum (Ufalme wa Muungano) | ||||
Mwenendo wa single za Westlife | |||||
| |||||
|
Tofauti na matoleo hapo yaliorodheshwa ahapo juu, kumekuwa na matoleo kadhaa ya wanamuziki kurudia wimbo huu kama vile. Bendi ya Sweden ya dansband inayojulikana kama Vikingarna walirudia wimbo huu katika Kiswideni mwaka 1974 ambapo uliitwa "Sommar varje dag". Wimbo huu pia umesharudiwa na makundi anuai kama vile kundi la Spell Bad Religion, Too Much Joy, Black Box Recorder, Nirvana, Indochine, Pearls Before Swine, Alcazar, Me First na the Gimme Gimmes, Westlife, katika albamu yao ya pili, kundi la Gob akishirikiana na Blink 182. Mwaka 2006, kundi la BoyTown lilirudia wimbo huu kwa ajili ya filamu yenye jina hilo hilo. Ambapo wimbo huu unaimbwa mwishoni na wasanii wote watano katika filamu hii.
Toleo la Kingston Trio linatoa beti la tatu kutoka katika wimbo wa asili na kuweka beti hili.
- Adieu, Francoise, my trusted wife, without you I'd have had a lonely life.
- You cheated lots of times but then, I forgave you in the end though your lover was my friend.
- Adieu, Francoise, it's hard to die when all the birds are singing in the sky. Now that spring is in the air
- With your lovers ev'rywhere; just be careful, I'll be there.
Toleo la Westlife wimbo huu upo katika albamu yao inayoitwa jina lao wenyewe yaani albamu ya Westlife ambapo wimbo huu upo katika upande A pamoja na wimbo wa I Have A Dreamwimbo ambao ulikuwa wimbo wa kwanza katika nyimbo za Krismasi kwa mwaka 1999, na kuendelea kushika nafasi hiyo hadi wiki ya kwanza ya mwaka 2000 Toleo la Bobby Wright na Kitty Wells, lilifanikiwa kufika nafasi ya 40, katika chati ya Billboard magazine Country Singles ya nwaka 1974. Wimbo uliotolewa zaidi unaweza ukawa ule uliotolewa katika eneo la Manchester uliokuwa ukikaribia kufanana na toleo la Coachmen ulirekodiwa katika studio za AMEI Abbey Raod Studio mwezi Julai mwaka 1966, na kutolewa katika Columbia DB8057 mwezi Novemba 1966. Wimbo huu ulitumika na kundi la Shabba Ranks na Crystal katika wimbo wao wenye miondoko ya Rege "Twice My Age", na kuweka maneno haya katika kiitio, ambapo kiitikio kiliimbwa na Crystal:
- I'm in love with a man, nearly twice my age,
- Don't know what it is, but its a hit from me youthful days,
- As I go my way, I don't care what people say,
- I'm in love with a man, nearly twice my age!
Pia kuna toleo kwa lugha ya Kijerumani linaloitwa Adieu Emile lililoimbwa na by Klaus Hoffmann na kutolewa mwaka 1975. Mashairi ya toleo hili, yanaonekana kukaribia kufanana na yale katika toleo la Kifaransa, lakini midundo katika toleo hili inaonekana kutofautiana kidogo..[2]
Halikadhalika mwimbaji wa nchini Italia anayeitwa Roberto Vecchioni alirekodi wimbo huu katika lugha kigiriki uloitwa "Stagioni nel sole" katika albamu yake ya mwaka 2005 iloitwa Il Contastorie.
Kundi la Beirut walirudia wimbo huu na kuiita "Le Moribond" na wameshawahi kuuimba moja kwa moja katika maonesho mbalimbali. Toleo la KEXP ulirekodiwa pamoja na "My Family's Role in the World Revolution" ukiwa wimbo wa tatu katika albamu ya Elephant Gun EP. Beirut ipoimba katika lugha ya kifaransa. alirudia wimbo huu lakini kwa kufuata mashari na miondoko ya wimbo wa asili wa Jacques Brel
Viungo vya Nje
hariri- Seasons in the Sun at Super Seventies.
- "Goodbye, Papa, It's Hard to Die: The enduring appeal of an abominable pop song" (Slate.com, March 16, 2005)
- comments by Rod McKuen Ilihifadhiwa 10 Januari 2001 kwenye Wayback Machine. on the song's origins.
- Brel sings Le Moribond.
- "Seasons In The Sun" - Westlife Official Music video
Mrejeo
hariri- ↑ "My first experience with Brel (...in 1964...) consisted of doing an unauthorized adaptation of 'Le Moribund'(...written by Brel for the singer Jean Sablon...), which I called 'Seasons in the Sun'...I subsequently learned that Brel had received my recording...," liner notes from Rod McKuen Sings Rod McKuen, Jacques Brel Songbook, April 2000, posted at Rod McKuen - Flight Plan. 'Rod's gift to his many fans', maintained by Stanyan Music Group, of Hollywood CA Ilihifadhiwa 21 Novemba 2008 kwenye Wayback Machine..Accessed: 12 September, 2009.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-12-09. Iliwekwa mnamo 2010-01-17.