Fortunati wa Montefalco

Fortunati wa Montefalco alikuwa padri wa Kanisa Katoliki aliyeishi kati ya karne ya 4 na ya 5, akifanya uchungaji kama paroko pamoja na kulima ili kujitegemea na kusaidia mafukara[1].

Mchoro wa ukutani ukimuonyesha Mt. Fortunati.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[2].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Juni[3].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.