Fosyo, Arkelao, Kwirino na wenzao

Fosyo, Arkelao, Kwirino na wenzao (walifariki Nikomedia, leo Izmit nchini Uturuki) walikuwa Wakristo waliouawa kwa ajili ya imani yao. Walikuwa 20 kama si 140, 150 au 152.[1].

Wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao inaadhimishwa kila mwaka tarehe 4 Machi[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.