Frédéric Joliot-Curie

Frédéric Joliot-Curie (19 Machi 1900 - 14 Agosti 1958) alikuwa mwanasayansi wa Kifaransa.

Frédéric Joliot-Curie
Frédéric Joliot-Curie.

Alishinda tuzo ya Nobel kwa Kemia mwaka wa 1935 pamoja na mkewe, Irène Joliot-Curie aliyekuwa binti wa Pierre Curie na Marie Curie.

Utafiti wa Frederic na Irene ulikuwa juu ya muundo wa atomu; waliweka msingi wa ugunduzi wa baadaye wa nyutroni.

Viungo vya nje hariri

 
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Frédéric Joliot-Curie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.