François Giuliani

Mwandishi wa Algeria

François Giuliani alizaliwa mnamo 5 Agosti mwaka 1938 nchini Algeria.

François Giuliani
Nchi Algeria
Kazi yake Mwandishi
Cheo Mwandishi wa habari

Maisha ya awali hariri

Alikuwa mwandishi wa habari na mtangazaji kutoka nchini Algeria .

Kazi hariri

Mnamo mwaka 1961 alijiunga na wafanyikazi wa Reuters. Akifanya kazi kama mwandishi wa habari na alifanya kazi barani Afrika na London. Kwa takriban miaka kumi. Mnamo mwaka 1971 alijiunga na Sehemu ya Waandishi wa Habari ya Umoja wa Mataifa. Ambao alifanya kazi kwa zaidi ya miaka ishirini. Mnamo mwaka 1992 alihamia Idara ya Habari ya Umma ya Umoja wa Mataifa. Mnamo mwaka 1996 alihamia UN na kuwa Mkurugenzi wa Vyombo vya Habari na Uhusiano wa Umma huko Metropolitan Opera ambapo alihudumu hadi alipostaafu mnamo Mwaka 2006.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu François Giuliani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.