Francesco Totti (amezaliwa 27 Septemba 1976 katika mji wa Roma) alikuwa mchezaji wa kandanda wa Italia akicheza kama mshambuliaji katika klabu ya A.S. Roma katika ligi ya Serie A ya Italia.

Francesco Totti
Maelezo binafsi
Jina kamili Francesco Totti
Tarehe ya kuzaliwa 27 Septemba 1976
Mahala pa kuzaliwa    Roma, Uitalia
Urefu 1.80m
Nafasi anayochezea Mshambuliaji
Maelezo ya klabu
Klabu ya sasa Roma
Namba 10
Klabu za ukubwani
Miaka Klabu
1992- Roma

* Magoli alioshinda

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Francesco Totti kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.