Franz König
Franz König (3 Agosti 1905 – 13 Machi 2004) alikuwa Kardinali wa Kanisa Katoliki kutoka Austria.
Alihudumu kama Askofu Mkuu wa Vienna kutoka 1956 hadi 1985, na aliteuliwa kuwa kardinali mwaka 1958. Alikuwa kardinali wa mwisho aliyehai aliyetawazwa na Papa Yohane XIII na alikuwa kardinali aliyehudumu kwa muda mrefu zaidi na wa pili kwa umri mkubwa zaidi duniani wakati wa kifo chake.[1]
Marejeo
hariri- ↑ Pick, Hella (16 Machi 2004). "Obituary: Cardinal Franz König". The Guardian. Iliwekwa mnamo 15 Februari 2020.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |