Papa Yohane XIII

Papa Yohane XIII.

Papa Yohane XIII alikuwa papa kuanzia 1 Oktoba, 965 hadi kifo chake tarehe 6 Septemba, 972. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Yohane Crescenzi.

Alimfuata Papa Leo VIII akafuatwa na Papa Benedikto VI.

Maandishi yakeEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane XIII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.