Kaizari Federiki II

(Elekezwa kutoka Frederick II)

Federiki II (Jesi, Marche, Italia, 26 Desemba 1194 - Castel Fiorentino di Puglia, Italia, 13 Desemba 1250) alikuwa Kaizari wa Dola takatifu la Roma kwa miaka 30 hadi kifo chake.

Federiki II akikutana na sultani al-Malik al-Kamil.
Sanduku alimozikwa Federiki II katika Kanisa kuu la Palermo (Italia).

Angalia pia

hariri
  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Ujerumani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kaizari Federiki II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.