Funchal

Funchal ni makao makuu wa visiwa vya Madeira ikiwa kwenye kisiwa kikuu kinachoitwa Madeira pia. Vilevile makao makuu ya wilaya ya Funchal. Madeira ni funguvisiwa la Kireno katika sehemu ya Kiafrika ya Atlantiki.

KIsiwa Funchal
Funchal

Bendera

Nembo
Majiranukta: 32°39′04″N 16°54′35″E / 32.65111°N 16.90972°E / 32.65111; 16.90972
Nchi Ureno
Mkoa Madeira
Idadi ya wakazi
 - 100,847
Tovuti: http://www.cm-funchal.pt/cmf/

Maana ya neno "funchal" ni "shamari" - kwa sababu shamari ilipatikana kwa wingi wakati Wareno walipofika kisiwani mara ya kwanza.

Mji una wakazi 45,000; ni zaidi ya lakhi moja pamoja na mitaa ya nje. Funchal ilikua pamoja na utalii wa watu tajiri. Kuna chuo kikuu "Universidade da Madeira".

Wilaya ya Funchal ina visiwa vya Porto Santo, Ilhas Desertas na Ilhas Selvagens pamoja na Madeira yenyewe.

PichaEdit

Tazama piaEdit

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ureno bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Funchal kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.