Futsal ni mchezo wa chama cha soka unaochezwa ndani ya jengo maalumu kwenye uwanja wenye umbo la mstatili wenye urefu wa mita 25-42 na upana wa mita 16-25 na wachezaji watano kwa timu.

Futsal ni soka linalochezwa ndani ya jengo maalum.

Neno “futsal” linatoka katika maneno ya Kireno futebol de salão na yale ya Kihispania fútbol sala au fútbol de salón (yote yanatafsiriwa kama "soka la ndani").

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Futsal kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.