Gafsa
Gafsa (kwa Kiarabu: قفصة "qafṣah", hapo awali paliitwa Capsa katika Kilatini) ni mji mkuu wa wilaya ya Gafsa huko Tunisia.
Jina lake limetokana na utamaduni wa kicapsa wa kimesolithiki.
Mwaka 2014 Gafsa ilikuwa na idadi ya wakazi takribani 95,242 [1]. Hivyo ni mji wa tisa kwa ukubwa nchini Tunisia, na upo kilomita 335 kutoka mji mkuu Tunisi.
Tazama pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Recensement de 2014 (Institut national de la statistique) Archived 2014-10-29 at the Wayback Machine
Makala hii kuhusu maeneo ya Tunisia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Gafsa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |