Gagauzia ni sehemu yenye haki ya kujitawala nchini Moldova ambayo uhuru wake kamili unachochewa na ukabila katika eneo la Wagagauz ambao ni watu wenye asili ya Kituruki lakini ni Wakristo Waorthodoksi.

Bango linaloalika: "Karibu Gagauzia".

Gagauzia ilipata uhuru wake mwaka 1990 kama Jamhuri ya Gagauzia lakini ikaunganishwa na Moldova mwaka 1994.[1] [2][3]

Marejeo hariri

  1. "Moldova mwaka 2014". National Bureau of Statistics of the Republic of Moldova. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-09-28. Iliwekwa mnamo 2017-05-01. 
  2. Menz, Astrid. (2007). The Gagauz Between Christianity and Turkishness. 10.5771/9783956506925-123.
  3. Lipka, Michael (22 May 2022). "'Christian Turks' maneno yake".  Check date values in: |date= (help)
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Gagauzia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.