Galeras ni mlima wa Andes katika nchi ya Kolombia (Amerika Kusini).
Urefu wake ni mita 4,276 juu ya usawa wa bahari.