Mzamaji Koo-jekundu

Spishi ya ndege anayezama
(Elekezwa kutoka Gavia stellata)
Mzamaji koo-jekundu
Ndege mzima wenye manyoya ya kuzaa pamoja na kinda
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Gaviiformes (Ndege kama wazamaji)
Familia: Gaviidae (Wazamaji)
Jenasi: Gavia
Forster, 1788
Spishi: G. stellata
(Pontoppidan, 1763)
Visawe: Colymbus stellatus Pontoppidan, 1763

Colymbus lumme Brünnich, 1764
Colymbus septentrionalis Linnaeus, 1766
Gavia lumme Forster, 1788
Colymbus mulleri Brehm, 1826
Urinator lumme Stejneger, 1882

Njano: Majira ya kuzaa (baadaye baharini)
Njano: Majira ya kuzaa (baadaye baharini)

Mzamaji koo-jekundu (Gavia stellata) ni ndege wa maji anayehamahama kutoka nusudunia ya kaskazini.

Gavia stellata

Marejeo

hariri

Viungo vya nje

hariri

IUCN Red List: Gavia stellata

 
WikiMedia Commons