George Floyd

George Floyd (1973 - 25 Mei 2020) alikuwa Mmarekani mweusi kutoka Minnesota aliyefariki dunia kufuatia askari polisi mweupe wa Minneapolis, aliyejulikana kwa jina la Derek Chauvin[1] kumbana Floyd kwa kupiga goti juu ya upande wa nyuma wa shingo ya Floyd kwa muda wa takribani dakika 8 na sekunde 46 kadiri ya maelezo yaliyomo kwenye faili la malalamiko ya jinai lilofunguliwa dhidi ya Chauvin.[2][3].

picha ya George floyd

Sababu ya kifo chakeEdit

Mwitikio wa jamiiEdit

Kauli za watu maarufu kuhusu tukio hiliEdit

MarejeoEdit

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu George Floyd kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.