George Santayana
George Santayana (16 Desemba 1863 – 26 Septemba 1952) alikuwa mwanafalsafa na mwandishi. Akiwa raia wa Hispania alilelewa na kusoma Marekani, kwa hiyo aliandika kwa lugha ya Kiingereza tu na kuangaliwa kama mwandishi Mmarekani. Anajulikana hasa kwa usemi wake "Wasiojifunza kutoka historia watairudia" (kwa Kiingereza: "Those who cannot learn from history are doomed to repeat it").
George Santayana | |
Amezaliwa | Jorge Agustín Nicolás Ruiz de Santayana y Borrás 16 Disemba 1863 Madrid, Uhispania |
---|---|
Amekufa | 26 Septemba 1952 Rome, Italia |
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu George Santayana kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |